Kwa wahitlmu wa chuo

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Kwema..
Kijana uliyehitimu chuo mwenzi huu najua hapa mpo wengi sana,kama ushawasilisha research kwa maprofessor na ushamaliza kila kitu,nataka nikupe wazo nzuri la kutoboa mazima kabisa yani hutataka ajira ya mtu tena.

**Najuwa unapesa ulizosave sio chini ya laki 5

**najuwa una simu nzuri yenye thamani kwanzia 250000 mpaka 1 million

**najuwa una aibu sana

**najuwa unaogopa watu
Kitu kilichopo akili mwako sasa ni kuajiriwa tu,nakuambia hivi utateseka na vyeti mpaka viatu viishe.

Kwanza huna::
**uzoefu wa miaka 3
**kwanza ujiamini
Basi ili uepuke hayo yote
Fanya hivi....


Tafuta maeneo yenye mkusanyiko wa watu wengi kwenye
**masoko
**magereji
**popote penye watu wengi.
Tafuta wa mama 3 wawe wanasambaza chakula.

Pika ugali dona na rost la nyama na mboga za majani,(hapo kwenye rost ingia YouTube jifunze jinsi ya kutengeneza rost nzuri).

Sasa wewe ndo utakuwa cashier yani na kuhakikishia utapiga pesa mpaka uzikimbie.

Hapo palipokuwa na ugumu ni kuanza tu.

Na kuogopa utaonekanaje.
Wewe ndo unamsitakabali wa maisha yako,endelea hivyo hivyo kuogopa watu.
 
Last edited by a moderator:

Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
115
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
403
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
390
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
416
Habari zenu, mimi ni mzima na tumaini na ninyi niwazima, moja kwa moja kwenye mada. Kama unajiusisha na ufugaji wa nguruwe au ulishawai fanya hii ishu, tafadhali naomba utupe uzoefu wako. A) utuambie nini siri ya kufuga awamabwana kwa faida? B) utuambie pia nikitu gani cha kuepuka ili tusile...
Replies
4
Views
496
Back
Top