Kwani kumsomesha mpenzi ni mbaya?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
wakuu nawasalimia tena👋
1 kwa 1 kwenye mada....
Je wanaume kuwasomesha au kuwafungulia biashara wapenzi wanao tarajia kuja kufunga nao ndoa kwa lengo la kuwaendekeza ni mbaya?

Nimeuliza hivi maana jamaa yangu alimsomesha demu wake jamaa alikua nyuma level moja ya demu (chuo), na baadae kabla jamaa ajamaliza chuo demu akapata kazi, na jamaa alivo maliza wakaoana na wanaishi mpaka sasa vizuri tu..
Wewe kama mwanaume utashindwa kumwendeleza mpenzi kwa hofu ya kuachana mbeleni?
Na wewe mwanamke nini kinawapataga mnawaacha watu walio waendeleza au mkiendelezwa mnajiskia vbaya au nikweli ninyi ni nanii?
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Hapo inategemea ila. Ni kama umemeza bomu
mbona mchepuko mnaujengeaga na ujauoa? unamwendeleza tu akizingua unakuwa umetoa sadaka.. mbona serekali inasomesha watu kibao bure,
 

Similar threads

Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
403
Heri ya mwaka mpya 2024 Villagers... Nipo kitandani tangu juzi mwili umepata hitilafu za kiafya kidogo ndo nipo naupambania hapa, hopefully ntakuwa sawa ASAP! Straight to the point, hii forum forum yetu bafo inajitafuta lakini binafsi mimi ishanitendea makuu mno 🤣🤣🤣. Sijawahi juta kuwa...
Replies
22
Views
734
Wakuu leo nimeona niwaletee uzi huu wa kuku na njiwa wa urembo manyumbani. Hapa nitatuma tu baadhi ila wako wengi sana, kunawengine sijawai waona ila hawa nimewaona na wengine ninao. 1.Polish Hawa wako kama kuku wa kienyeji ila wana nywele nyingi kichwani. Hawa nlio waeka hapa chini ni polish...
Replies
22
Views
387
Wanawake wa jamii ya Buganda, wasukuma na kutoka nyanda za juu kusini mwa Tanzania huwa wana utaratibu wa kupiga magoti wakati wanapoandalia wanaume chakula na wanaposalimia. Tunaona wanaume kutoka Tanga, Zanzibar na Pwani wakienda sokoni na vikapu kununua mahitaji ya nyumbani Kumekuwa na...
Replies
9
Views
201
Hi Mimi napenda romance sana sana na zaidi tuwekane love beat kabisa icho ndicho napenda
Replies
93
Views
3K

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom