Majina yamebeba tabia na roho kuwa makini unapotoa majina kwa watoto.

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Kiblia majina yamebeba tabia na mamla na wakati mwingine roho, kila jina linakua na maana yake.
Na ukipewa jina baya uwezo wa wewe kuwa na tabia mbaya ni mkubwa sana.

Mathayo 18:20
Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao.


Jina la mtu linapotajwa linaambatana na muhusika.
Kama inavosomeka hapo juu tunapokusanyika kwa jina la Yesu anakua katikati yetu.

Kuna watu waliitwa jina la babu yao wakawa na tabia za babu yao(tabia za babu zikaonekana kwa mtoto)

Ukiitwa mateso, au tabu chance ni kubwa ya kuwa na shida na mateso kwenye maisha.
Maana kama jinsi jina lako lilivo ndio na wewe ulivo.

1 Samweli 25:25
Bwana wangu na asimjali huyo mtu mwovu Nabali. Yeye anafanana na jina lake; jina lake ni Mpumbavu, nao upumbavu huenda pamoja naye. Lakini kwangu mimi, mtumishi wako, sikuwaona hao watu waliotumwa na bwana wangu.


Tuwe makini tunapo wapa watoto majina, jina lako unalikubali? Au limekaa kinamna?
Karibuni wanajukwaa maoni yenu niyamuhimu.
 
Binafsi sipendi kumpa mtoto majina ya kurithi. Kwa sababu naamini watu hurithi mpaka mikosi na tabia mbovu

Pia ni shuhuda wa hizi mambo huu uzi uneniwahi tu nilitaka kuuweka wangu kama huu
 
Binafsi sipendi kumpa mtoto majina ya kurithi. Kwa sababu naamini watu hurithi mpaka mikosi na tabia mbovu

Pia ni shuhuda wa hizi mambo huu uzi uneniwahi tu nilitaka kuuweka wangu kama huu
Mimi nishawai kuona mtoto aliepinda mkono kama babu yake, akabadilishwa jina mkono ukarudi kawaida(mubashara kanisani)
 
Mimi nishawai kuona mtoto aliepinda mkono kama babu yake, akabadilishwa jina mkono ukarudi kawaida(mubashara kanisani)
Fascinating
Mbona huweki uzi madini kama haya
 
Ananichota ili nipigwe nakotu chenye ncha kali usoni, namimi nmesanuka. Ngashtuka meku
Ngastuka haha hiki kirombo kijana huyo hawezi elewa

Mimi ni Mrombo
Manenge Mmachame
Mshamba Mkibisho
Almightygod Mmarangu

ILA WOTE TUNAZUNGUMZA TOFAUTI BAADHI YA MANENO YANAINGILIANA
 
Ngastuka haha hiki kirombo kijana huyo hawezi elewa

Mimi ni Mrombo
Manenge Mmachame
Mshamba Mkibisho
Almightygod Mmarangu

ILA WOTE TUNAZUNGUMZA TOFAUTI BAADHI YA MANENO YANAINGILIANA
Wakobosho wote wako kama mshamba?
 

Similar threads

Habari 👋👋👋 Kama ilivyo ada Mimi shujaaa wenu nimekuja na jambo, naomba tujadili wote sisi Wana KF Je unaweza jifunza tabia mpya mfano Kuwa mkimya, kuachana na kuwaza/kutamani mapenzi, kunywa bia, kuacha ulevi, kupendeza hata kuwa MTU wa comedy Ikiwa sio hurka yako je? Utaweza jifunza na...
Replies
19
Views
845
Habari wanajamvi... Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi. Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa...
Replies
53
Views
743
  • Solved
Wasalaam Tabia gani ambayo uko nayo imekuwa faida kubwa kwako? Nianze binafsi sina tabia ya dhuluma na hii imekuwa fauda sana kwangu. Uaminifu ni mtaji tosha imepelekea biashara zangu kidumu kwa mda mrefu. Hata kuoata bidhaa kwa Mali kauli na kulipa pale ninapouza. Hichi ni kitu pekee...
Replies
47
Views
685
Mbu kiswaswadu Huyu ni mbu msumbufu sana mara nyingi huwa hawahangaiki saaaana na damu ila wao ni kukukera tuu,yaani anakuja kama amekosea njia hivi atakupiga kumbo huku sikioni au puani alafu yeye huyooo anatimka anakuacha wewe unajimamanyua bonge la kofi kama zoba vile. Aina hii ya hawa mbua...
Replies
5
Views
240
Back
Top