Mh. Raisi Gily kwanini usianzishe kamchezo cha pesa

Idea ni nzuri sana, shidani uaminifu aisee. mfano mimi nikishapokea zamu yangu lazima niamkie Kidimbwi sasa sidhani kama ntakumbuka kama nina mchezo wa hela inabidi nitume ili mtu mwingine pia apokee.
 
Mchezo wa pesa na ID fake ?
Taarifa za kazi za wana kijiji zikoke?
Je unacheza mchezo wa pesa na kazi huna?
Una uwezo wa kurudisha hiyo pesa kila siku?
 
I don't understand Swahili or whatever language this is.. but I smell nice discussion here. But it looks abandoned since long time ago?
Ahahah
The language is swahili
He was suggesting we could each could contribute some percentage of money each month, put it in saving, or investment as a group. Opening something like microfinance

This was suggested by previous president. , for members only in our country
 
Ahahah
The language is swahili
He was suggesting we could each could contribute sonme percentage of money each month, put it in saving, investment as a group. Opening something like microfinance

This was suggested by previous president. , for members only in our country
Micro finance.. an interesting idea
 
Tungeanzisha hili swala manenge angekimbia na hela zetu haonekani kabisa humu ndani
 

Similar threads

Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa...
Replies
3
Views
440
Raisi Samia amvua DKt Wilbroad Slaa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023. Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X. Dk Wilbroad Slaa aliwahi kuwa Katibu wa Chadema Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweeden. Dk Slaa alipewa hadhi hiyo mwaka 2017.
Replies
4
Views
274
  • Article Article
Author: Unknown Type: Action and Adventure Posted : 07 October 2023 Status: Ongoing Synopsis John White is furious that someone has tried to make an advance on his girlfriend. In the end, he ends up behind bars after his attempt to protect her. Three years later, he is a free man but finds...
Replies
5K
Views
246K
Wakuu kuuliza sio ujinga Hivi haya matairi yaliyo nyanyuliwa inakuwaga ni kwasababu gani maana nmejaribu kujiuliza Je niili yasichafuke? Au yanapancha? Au gari alina mzigo? Au linapunguza ulaji wamafuta? Au linatumika kama breki😄 Wadau mnisaidie, au yamechoka yanpokezana na wenzake kwa zamu?
Replies
7
Views
86
Niaje wakuu, hivi wabongo wanawazaga nini? Unakuta mtu anawazazi kijijini wakati wazazi wako hai hawajengei nyumba na hela ipo.. Ila mzazi akifa tu ndio anaanza kujenga kwa fujo(wiki moja), hizi hela za kujenga nyumba haraka hvi zinakuwaga wapi sku zote?.. Unajiuliza inamaana marehemu hakustaili...
Replies
7
Views
126
Back
Top