Nafikiria kwa sauti....

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Najiona wa tofauti sana....

sina dini,
sinywi pombe,
sishabikii michezo, mpira, mieleka sijui nini nini vimenipita kushoto😅
na ukubwa wangu wote huu bado naangalia 'katuni'

Yaani nikijilinganisha na watu wa rika langu najiona tofauti kabisa, kuna vitu nilikua nafanya kwa kuiga ili na mimi nijione wa kawaida, ila sasa nimeanza kuviacha nimepoteza marafiki, yaani ni kama siwezi kuishi hivi jinsi nilivyo ni lazima niige vitu ili niweze kujichanganya na watu....

hii inanipa wasi wasi sana huko mbeleni ntaishije, kwa hivi nilivyo, mke nitapata kweli? nikisema nijikubali hivi nilivyo ntaishi kwa upweke sana kwasababu ni watu wachache sana wanaendana na mimi, nitakosa marafiki....

inafikirisha.... nakaribisha mawazo yenu
 
Acha uboya wewe..

Sasa umeanza kujitambua unahitaji kutekeleza nini na kipi katika ukuaji wako ila ni purukushani za maisha ndizo zinazofanya ujione kana kwamba umekwama lkn...Long story short ni hivi tunaenda kwa utaratibu wewe, Unajaribu kufikia hatua ulizotaraji lkn bado sio stahiki yako......
 
Hauna shida yeyote, kwani kunywa pombe sio ufahari ni maamuzi. Kufatilia mpira ni burudani sio lazima ufatilie. Hata mimi naangalia animations na cartoons 😃

Nina mke na watoto. Tafuta mke wa kuendana nae. Your life will be just fine usiwaze
 
Acha uboya wewe..

Sasa umeanza kujitambua unahitaji kutekeleza nini na kipi katika ukuaji wako ila ni purukushani za maisha ndizo zinazofanya ujione kana kwamba umekwama lkn...Long story short ni hivi tunaenda kwa utaratibu wewe, Unajaribu kufikia hatua ulizotaraji lkn bado sio stahiki yako......
Haha kama hujawahi lewa ukaangukia mtaroni sijui

Nirudi kwenye madam, huyu dogo miaka 19 bado mwache aishi umri wake. Ila wewe nasikia hupeleki matumizi kwa yule demu uliyemtiq mimba hata mtoto una mpango wa kumkataa

mshamba_mkuu will never do that
 
Acha uboya wewe..

Sasa umeanza kujitambua unahitaji kutekeleza nini na kipi katika ukuaji wako ila ni purukushani za maisha ndizo zinazofanya ujione kana kwamba umekwama lkn...Long story short ni hivi tunaenda kwa utaratibu wewe, Unajaribu kufikia hatua ulizotaraji lkn bado sio stahiki yako......
sijaelewa
 
zipo za watu wazima, sema wabongo tushazoea
Inabidi siku tukae tusimuliane my friend...hua natamani sana niwe na watu wa kusimuliana nao cartoon ila ndo hivyo jamii inayonizunguka nawaza watanionaje😄😄
 
tusimuliane wapi, kwenye simu?

nina sauti mbaya kama mlio wa chura😅
 
Tuko pamoja mimi memyewe ni kama wewe
 
Najiona wa tofauti sana....

sina dini,
sinywi pombe,
sishabikii michezo, mpira, mieleka sijui nini nini vimenipita kushoto😅
na ukubwa wangu wote huu bado naangalia 'katuni'

Yaani nikijilinganisha na watu wa rika langu najiona tofauti kabisa, kuna vitu nilikua nafanya kwa kuiga ili na mimi nijione wa kawaida, ila sasa nimeanza kuviacha nimepoteza marafiki, yaani ni kama siwezi kuishi hivi jinsi nilivyo ni lazima niige vitu ili niweze kujichanganya na watu....

hii inanipa wasi wasi sana huko mbeleni ntaishije, kwa hivi nilivyo, mke nitapata kweli? nikisema nijikubali hivi nilivyo ntaishi kwa upweke sana kwasababu ni watu wachache sana wanaendana na mimi, nitakosa marafiki....

inafikirisha.... nakaribisha mawazo yenu
Pole sana kwakujihisi hauko kawaida .
Lakini ukweli ni kuwa huyo ndiyo wewe na jitahidi uishi kama wewe ukianza kutaka kuiga utaumiza utu wako na hali yako kijamii .

Ishi kama ulivyo lakini zaidi mpate mwenza atakayekuelewa ni hapo utaona hauna upungufu bali unaishi katika uhalisia wako
 
Kwani usingle sinibora kuliko presha
 
Similar threads

Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
115
Zab 10:1 Ee BWANA, kwa nini wasimama mbali? Kwani kujificha nyakati za shida? Hello! Nawasalimu wa ndugu kwa jina la Yesu, mko njema sio! Mimi ni mzima sana, twende kwenye mada; Umesha wai kupitia changamoto mpaka ukahisi kama Mungu hayupo, hakuoni wala hakusikii, yaani ukahisi amekuacha...
Replies
4
Views
403
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake!! Kwa Lugha...
Replies
2
Views
390
Weka codes za kila rangi lengo ni kumpasua kanjibahi hadi arudi kwao new delhi .remember bet what you can affors to loose
Replies
5
Views
416
Habari zenu, mimi ni mzima na tumaini na ninyi niwazima, moja kwa moja kwenye mada. Kama unajiusisha na ufugaji wa nguruwe au ulishawai fanya hii ishu, tafadhali naomba utupe uzoefu wako. A) utuambie nini siri ya kufuga awamabwana kwa faida? B) utuambie pia nikitu gani cha kuepuka ili tusile...
Replies
4
Views
496
Back
Top