Ni ipi simu ya ndoto yako?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

dronedrake

New member
Joined
Jun 5, 2023
Messages
611
Reaction score
2,003
Points
0
tatizo ya hii ni chaji, ila ni kasimu very slim safi sana.
hapo kwenye chaji ndiyo pananiumiza kichwa hasa
nili plan ninunue kisha niweke zile modded rom/OS ambazo hazina makorokoro mengi
zina feature ya ku tweak na CPU pia

nilifanya ivyo kwa S4 Mini, miaka ya nyuma kidogo, na kweli ilikaa sana

shida ya custom ROMs baadhi ya apps hazikubali hasa za kifedha
 

Watoto wa kidugala

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
195
Reaction score
704
Points
93
Miaka inaenda kasi sana , leo nipo na ndugu zangu wenye matamanio na simu mimi hata sijui natamani simu gani ? Nilikuwa na samsung wakasema za madon bichwa likavimba sana , nikatumia iphone wakasema za wanawake , sasa nimenunua tena samsung .

Hivyo itoshe ninyi kuniamulia ila mimi hata sijui natamani simu gani 🙈
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Miaka inaenda kasi sana , leo nipo na ndugu zangu wenye matamanio na simu mimi hata sijui natamani simu gani ? Nilikuwa na samsung wakasema za madon bichwa likavimba sana , nikatumia iphone wakasema za wanawake , sasa nimenunua tena samsung .

Hivyo itoshe ninyi kuniamulia ila mimi hata sijui natamani simu gani 🙈
Nimecheka sana

Kwa utumiaji mzuri Samsung imetulia sana ishi humo humo kwenye Samsung. Shida ya iphone iko limited sana katika matumizi yake
 

Similar threads

Hapa Pima uwezo wako kuona na akili kwa kusema picha ipi ni kubwa kati ya hizi mbili.
Replies
16
Views
565
Adhabu kuhusiana na tabia za ushoga Kuna baadhi ya wasomi wanasema dhambi ya Sodoma na Gomora ilikuwa ni kwa sababu ya matendo ya Kishoga. Mungu akatuma wageni kwa Lutu. Ila sasa watu kwa tamaa kuona malaika wale ni wazuri wakataka kulala nao. Kwa nini? Kwa nini? Kwa sababu walifika nyumbani...
Replies
21
Views
318
Wana kijiji nilikuwa nauliza. Eti ipi ni njia yako ya kujiondolea stress au ku relax labda baada ya kazi nyingi au weeknd. ? In short anasa yako. Mimi 1.kusikiliza mziki. Napenda sana 😅 2.kulala 3.kuleta ugomvi. Hii one of a kind 4. Going for a walk. 5. Sex. sometimes 😎
Replies
30
Views
604
Mimi somo la ujasiriamli sio mzuri ila leo tujadili kuhusu hivi vitu viwili Ujasiriamali na Biashara Ujasiriamali ni nini? Biashara ni nini? Vinatofautiamaje? Utajuaje huyu ni mjasiriamli na yule ni mfanyabiashara Kipi bora zaidi Kipi kinafaida kwa wengi? Stay tuned i will be back soon.
Replies
6
Views
332
Mfahamu Mmiliki na Mwanzilishi Wa simu za Tecno na Infinix Siku zote lipo tumaini katika hali yeyote mtu anayokutana nayo Maishani. Umasikini au hali ngumu ya Maisha sio vitu anavyodumu navyo mtu siku zote. Nnamdi Ezeigbo, ndie Mwanzilishi na mtendaji mkuu (CEO) wa kampuni maarufu ya Slot...
Replies
6
Views
264

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom