Tabia gani uliyonayo imekuongezea ufanisi?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Wasalaam

Tabia gani ambayo uko nayo imekuwa faida kubwa kwako?

Nianze binafsi sina tabia ya dhuluma na hii imekuwa fauda sana kwangu. Uaminifu ni mtaji tosha imepelekea biashara zangu kidumu kwa mda mrefu. Hata kuoata bidhaa kwa Mali kauli na kulipa pale ninapouza. Hichi ni kitu pekee nachojivunia.

Funguka ni tabia gani labda kwa kujua au kutokujua imekuwa faida kubwa kwako.
 
Solution
mimi ni disminder,, hii tabia ndo inanifanya najivua saizi nilivyo.. yani ni mtu wa kutake easy kila jambo na hua sijali watu watanionaje au watanifikiriaje, hii imenipelekea kujaribu kufanya vitu vingi sana bila wasiwasi na almost kila nilichojaribu kufanya nimefanikiwa

Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
mimi ni disminder,, hii tabia ndo inanifanya najivua saizi nilivyo.. yani ni mtu wa kutake easy kila jambo na hua sijali watu watanionaje au watanifikiriaje, hii imenipelekea kujaribu kufanya vitu vingi sana bila wasiwasi na almost kila nilichojaribu kufanya nimefanikiwa
 
Solution

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
mimi ni disminder,, hii tabia ndo inanifanya najivua saizi nilivyo.. yani ni mtu wa kutake easy kila jambo na hua sijali watu watanionaje au watanifikiriaje, hii imenipelekea kujaribu kufanya vitu vingi sana bila wasiwasi na almost kila nilichojaribu kufanya nimefanikiwa
Dah una bahati sana. Mtu akinambia ananichukia naweza shindwa lala kabisa. Huwa napenda kila mtu anipende na kuonekana mwema machoni pa watu

natakiwa kujifunza kwako.
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
Dah una bahati sana. Mtu akinambia ananichukia naweza shindwa lala kabisa. Huwa napenda kila mtu anipende na kuonekana mwema machoni pa watu

natakiwa kujifunza kwako.
huwezi kumridhisha kila mtu kwenye maisha yako na watu wanatakiwa wakupende wao wenyewe sio wewe ufanye wakupende.... ukitaka kila mtu akupende ndo itakua kazi yako hiyo hadi siku ya mwisho...zaidi zaidi watakuona unajipendekeza maana binadam haturidhikagi
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
huwezi kumridhisha kila mtu kwenye maisha yako na watu wanatakiwa wakupende wao wenyewe sio wewe ufanye wakupende.... ukitaka kila mtu akupende ndo itakua kazi yako hiyo hadi siku ya mwisho...zaidi zaidi watakuona unajipendekeza maana binadam haturidhikagi
Najua huwezi mridhisha kila mtu ila hili limekuwa mapungufu kwangu. Yan hata nikiwa na demu akiniacha basi bado nitajikomba komba tu
 
Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
Dah una bahati sana. Mtu akinambia ananichukia naweza shindwa lala kabisa. Huwa napenda kila mtu anipende na kuonekana mwema machoni pa watu

natakiwa kujifunza kwako.
fanya hivyo,,,mwanzo wakati niko olevel nlikuaga na hiyo tabia kwakweli nilinyanyasika sana maana nlikua na kazi ya kuwafurahisha watu ambao hata walikua hawana mpango na mimi... thanks Lord nlikua na madada wa shule makauzu ndo wakanifundisha kumind my own businesses...from there mpaka na utu uzima huu sijawahi yumbishwa na mtu😶
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
fanya hivyo,,,mwanzo wakati niko olevel nlikuaga na hiyo tabia kwakweli nilinyanyasika sana maana nlikua na kazi ya kuwafurahisha watu ambao hata walikua hawana mpango na mimi... thanks Lord nlikua na madada wa shule makauzu ndo wakanifundisha kumind my own businesses...from there mpaka na utu uzima huu sijawahi yumbishwa na mtu😶
Una utu uzima gan wewe? usinambie naongea na shangazi😬
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
huwezi kumridhisha kila mtu kwenye maisha yako na watu wanatakiwa wakupende wao wenyewe sio wewe ufanye wakupende.... ukitaka kila mtu akupende ndo itakua kazi yako hiyo hadi siku ya mwisho...zaidi zaidi watakuona unajipendekeza maana binadam haturidhikagi
ndio huwezi kumtidhisha kila mtu. Hata mademu kuna show nazipiga kweli kweli nasimamia ukucha na bado hawaridhiki🤣
 
Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Mimi tabia ya upole aka ukimya, imenifanya nikae mwenyewe mda mwingi sana na kua na marafiki wawili tu,,, imepelekea nmekua mtu wa kusoma soma mavitabu na vitu mbali mbali kwahyo nauelewa mkubwa kwenye mambo nnayo yapenda... japo inanipa changamoto kupata michongoo...
 
mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Mimi tabia ya upole aka ukimya, imenifanya nikae mwenyewe mda mwingi sana na kua na marafiki wawili tu,,, imepelekea nmekua mtu wa kusoma soma mavitabu na vitu mbali mbali kwahyo nauelewa mkubwa kwenye mambo nnayo yapenda... japo inanipa changamoto kupata michongoo...
tupo wengi mkuu.... japo hapo kwenye vitabu siko vizuri😅
 
Similar threads

Kiblia majina yamebeba tabia na mamla na wakati mwingine roho, kila jina linakua na maana yake. Na ukipewa jina baya uwezo wa wewe kuwa na tabia mbaya ni mkubwa sana. Mathayo 18:20 Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao. Jina la...
Replies
31
Views
747
Habari 👋👋👋 Kama ilivyo ada Mimi shujaaa wenu nimekuja na jambo, naomba tujadili wote sisi Wana KF Je unaweza jifunza tabia mpya mfano Kuwa mkimya, kuachana na kuwaza/kutamani mapenzi, kunywa bia, kuacha ulevi, kupendeza hata kuwa MTU wa comedy Ikiwa sio hurka yako je? Utaweza jifunza na...
Replies
19
Views
845
Habari wanajamvi... Nina imani humu kuna wazazi ambao walishawahi kua na watoto wenye tabia kama hizi naombeni msaada wenu wa mawazo na ushauri unisaidie na mimi. Binafsi nina mdogo wangu aliyenifuata wa kiume, ana miaka 17...huyu mdogo wangu alikua ni mpole Sanaa, akiwa nyumbani ni mtu wa...
Replies
53
Views
744
Mbu kiswaswadu Huyu ni mbu msumbufu sana mara nyingi huwa hawahangaiki saaaana na damu ila wao ni kukukera tuu,yaani anakuja kama amekosea njia hivi atakupiga kumbo huku sikioni au puani alafu yeye huyooo anatimka anakuacha wewe unajimamanyua bonge la kofi kama zoba vile. Aina hii ya hawa mbua...
Replies
5
Views
240
Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom