mshamba_mkuu
New member
- Jun 4, 2023
- 1,563
- 4,525
- 0
mzee wa red flags kwenye ubora wakoKwenye loading hizo rangi zinazotokea kama upinde hv
mzee wa red flags kwenye ubora wakoKwenye loading hizo rangi zinazotokea kama upinde hv
Nipo tele Mbande huku, karibu
Mkuu unapata error gani au unaload slow, jaribu kuangalia internet connection yako au kama unapata error pls you may send it to meHii server iko down sijui ni kwangu tuu au sielew
alaf dume huyo eeh, kajuaje server ?Mkuu unapata error gani au unaload slow, jaribu kuangalia internet connection yako au kama unapata error pls you may send it to me
Kwani wanaume tu ndio wanajua kuwa kuzaa nje ya ndoa ni dhambi?alaf dume huyo eeh, kajuaje server ?
hmmmKwani wanaume tu ndio wanajua kuwa kuzaa nje ya ndoa ni dhambi?
Server ni kitu cha kawaida huenda shuleni au kwenye maisha yake mengine analisikia
Kwako vipi inafunguka pouwa?hmmm
natumia desktop, inafunguka murua kabisaKwako vipi inafunguka pouwa?
Vizuri nakuja PM kukuomba kitunatumia desktop, inafunguka murua kabisa
Internet iko fresh 5G..yan kuna muda nikifungua inakuwa slow sana,,Mkuu unapata error gani au unaload slow, jaribu kuangalia internet connection yako au kama unapata error pls you may send it to me
Bado hamjaacha tu kuniongelea aseealaf dume huyo eeh, kajuaje server ?
Let me clear cache, maana kwangu ipo fasterInternet iko fresh 5G..yan kuna muda nikifungua inakuwa slow sana,,
ntakuchapaaaaBado hamjaacha tu kuniongelea asee
haliwi akija
at your own riskhaliwi akija
Kwanini? Ule ulikuwa unafanya uwe slow fonts link nyingihuu wa saivi jau
Ndio dark version not fully developed, vp kuhusu light version au ile theme iliyopita ilikuwa bomba zaidihizi rangi we unaona zinapendeza??
View attachment 281
sijawahi tumia light version napenda gizaNdio dark version not fully developed, vp kuhusu light version au ile theme iliyopita ilikuwa bomba zaidi
theme umeleta nyingi sana, ya kabla ya hii ndo nimeipenda@mshamba_mkuu ile theme ya mwanzo haikusumbua kwako?
kama mchawisijawahi tumia light version napenda giza
huoni kama site inakuw very slow theme kubaa sanatheme umeleta nyingi sana, ya kabla ya hii ndo nimeipenda
basi afanye namna arekebishe hizo rangi nyeupe kwenye homepagehuoni kama site inakuw very slow theme kubaa sana
milk white ni theme nzuribasi afanye namna arekebishe hizo rangi nyeupe kwenye homepage
dark theme ndio mpango mzima.... kila platform kubwa in adark thememilk white ni theme nzuri
Sema wewe unaweka dark them kuanzia kwenye simu mpaka kwenye site
unaweza tengeneza themedark theme ndio mpango mzima.... kila platform kubwa in adark theme
sijaja kwa shari, natoa maoniunaweza tengeneza theme
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.