Unapenda kufanya nini ukiwa idle

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,714
Reaction score
6,233
Points
113
Mimi napenda kulala sana yani nalala sio mchezo na usingizi ukikata hua nawaza sana nifanye nini unique itakayonifanya niwe billionea huku nikitingisha peni au kijiti au kitana mkononi unaweza dhani ni kichaa

@Leejay @Gily
 
kipindi hiki wakati unamsubiri wife akae sawa,, hua unafanya nini 😂😂😂
Kipindi hiki nimekuwa kama chizi nimefanya mambo mengi sana
1 Kuasisi Kijiji
2 Kufuga sungura
3 kula sana mapocho pocho😀
4 kukesha usiku wa manane
5 kupiga selfie za aina mbali mbali
6 ......
 

Similar threads

Binafsi nje ya IT napenda kuigiza comedy kama wale wasanii wa Hollywood
Replies
31
Views
392
Mko wandugu? Nawasalimu guests wote👋 nawapenda natambua uwepo wenu... Mimi sio mpenzi wa tatoo, pia imani yangu hairuhusu mambo ya kujichora hayo mambo.. Nina rafiki yangu ameokoka ila anayo tatoo ambayo haifutiki shingoni, imemletea shida maana watu wanamuona hayuko serious bado, japo...
Replies
9
Views
493
Wakuu kwemaa? Tatizo ni mwanamke kumzidi mume wake kipato au tatizo ni mwanamke kutaka kua mwanaume ndani ya nyumba?.. Nauliza hivo kwasababu wanawake wengi wenye cheo, pesa, umaarufu ndoa zao nyingi zinakuaga na chengachenga... Naomba wanawake muwe wakweli je mnapenda kuwazidi waume zenu kipato?
Replies
18
Views
384
Hi Mimi napenda romance sana sana na zaidi tuwekane love beat kabisa icho ndicho napenda
Replies
93
Views
3K
Kutoka 8:1 BWANA akamwambia Musa, Ingia kwa Farao, ukamwambie, BWANA asema hivi, Wape watu wangu ruhusa, ili wapate kunitumikia. Maandiko hapo juu yanasema bila kificho chochote yaani yuko direct lipi lilikua ni LENGO la kuwatoa wana Waisraeli misri. Sababu ya kuwatoa watu wake misri ni ili...
Replies
12
Views
127

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top