Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Sipendi kabichiiiiii yaani sipendiiiiii bora Nile mchicha ht mwaka mzima sio cabage
cabbage upikaji tu

Kuna mzee mmoja alikuwa mpishi wa five star hotel alipika cabbage na vitunguu vingi sijawah kula cabbage tamu kiasi kile
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
wivu haujawahi muacha mtu salama

Ni hivi nimetafutwa na wizara ya mifugo na uvuvi waziri kaniambia kuwa ulaji wangu unaharibu mazingira inabidi nilipie kodi na nizalishe vifaranga vipya 😬 ile kata mti panda mti
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
vunja hiyo rekodi yangu ndo uje hapa, kuku mzima nimekula, mzima na nusunimekula, sema turkey ni mtamu balaa ana nafasi yake
mzee mimi ni mrombo Jazia....

hapa ninepunguza nyama sana kuna kipindi nilikuwa nakula mbuzi mpaka nanuka kimbuzi mbuzi😀
 

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
wivu haujawahi muacha mtu salama

Ni hivi nimetafutwa na wizard ya mifugo na uvuvi waziri kaniambia kuwa ulaji wangu unaharibi mazingira inabidi nilipie kodi na nizalishe vifaranga vipya 😬 ile kata mtu panda mti
ngoja mi nihangaike na kontena langu la wali wa 1500
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
vunja hiyo rekodi yangu ndo uje hapa, kuku mzima nimekula, mzima na nusunimekula, sema turkey ni mtamu balaa ana nafasi yake
mzee mimi ni mrombo Jazia....


hapa ninepunguza nyama sana kuna kipindi nilikuwa nakula mbuzi mpaka nanuka kimbuzi mbuzi😀
 

Similar threads

Bwana Yesu Asifiwe? Tumsifu Yesu Kristo? Mwana kondoo ameshinda! Shalom shalom! Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Replies
21
Views
727
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya kuwatoa udenda au kuwatamanisha wana kijiji. Embe na Kichumvi kwa mbali😋😋
Replies
17
Views
717
Wanaume !! Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi? Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia? Mwanaume hatakiwi kula chips mayai? Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze? Wanaume ni...
Replies
44
Views
911
Oya weee leo tumention misemo iliyowahi kutamba sana mitaani Kula chuma hicho Apeche alolo Shega
Replies
48
Views
1K
Wasalaam Binafsi mimi sipo kwenye kundi lolote bado. Ila ningependa kuwa kwenye kundi la vegetarians hapo baadae. Hapa tunatupia recipes za vegans au vegetarians ili tuwe na range kubwa ya vyakula. Vegetarians- Hawa hawatumii nyama wala samaki kwenye milo yao au bidhaa au vyakula vilivyopikwa...
Replies
45
Views
941

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom