- Joined
- Jun 4, 2023
- Messages
- 7,617
- Reaction score
- 26,430
- Points
- 113
afu niliambiwa women who say 'red flag' are red flags themselves
mnaangalia vitu vingi sana ambavyo haiwezekani mtu kuwa navyo vyote mfano aina ya simu.....Mh how?
ana sponsors huyo, guu la bia mzee baba hulali njaaunanitisha
baada ya kula mihogo ya nazi
Ndiyo ndiyo lazima tujihakikishie kabla hatujaangukamnaangalia vitu vingi sana ambavyo haiwezekani mtu kuwa navyo vyote mfano aina ya simu.....
picha haziattachiki jamani,,, @Hakimu uje unielekeze tena aisee hazifunguki nikiweka my friendweka bana tuone vyuku hivyo
weee tulia, subiri na uone kama hautahama jukwaanunanitisha
baada ya kula mihogo ya nazi
unaweka tu kama kule j.f unagusa hicho kialama cha picha.... jamani fanya wepesipicha haziattachiki jamani,,, @Hakimu uje unielekeze tena aisee hazifunguki nikiweka my friend
Sipendi kulaahaha sijakutaj ommy B
Leo ni siku 122 mwaka huu nagonga chicken wa kienyeji karibu nakul hapaView attachment 220
siwez hama na utashindana na hamtashindaweee tulia, subiri na uone kama hautahama jukwaan
Habari!picha haziattachiki jamani,,, @Hakimu uje unielekeze tena aisee hazifunguki nikiweka my friend
daaah, yummy yummy@mshamba_mkuu karibu sana View attachment 227
Ndo pasi hiyodaaah, yummy yummy
Pasi ya kina @mshamba_mkuu mpaka kesho mida kama hiipasi ipi mzee ?
nimetamani sana mzee, alaf inaonekana milaini, na kachumbari moja matata sana@mshamba_mkuu karibu sana View attachment 227
Hapo ni mihogo ya kukaamga na viazi vitamu vya kuchemsha mix kachumbari matata tu ndimu na tango, Coca-Cola pembeninimetamani sana mzee, alaf inaonekana milaini, na kachumbari moja matata sana
ngoja nikanynue mihogo nipike ya kwangu@mshamba_mkuu karibu sana View attachment 227
huu hauwezi kuwa mlo kamili wa binadamu.Hapo ni mihogo ya kukaamga na viazi vitamu vya kuchemsha mix kachumbari matata tu ndimu na tango, Coca-Cola pembeni
Utakufa burengoja nikanynue mihogo nipike ya kwangu
Weww na hao kuku kama unabanda tumboni ndio mlo kamili?huu hauwezi kuwa mlo kamili wa binadamu.
hah unajua huwa nasaga unga wa mihogo kwenye chakula cha kukuWeww na hao kuku kama unabanda tumboni ndio mlo kamili?
damnkaribuni lunch wanakijijiView attachment 229
damn tenadamn
nimejing'ata ulimi na huo utelezidamn tena
Yeah tunakula vyakula laini laini sio kama @Gily anakula ndizi kavuuunimejing'ata ulimi na huo utelezi
na Hakimu je ?Yeah tunakula vyakula laini laini sio kama @Gily anakula ndizi kavuuu
Mihogo nakula ila niipike mwenyewe yani nihakikishe imelainika kabisaaaa ndo naila,,, hivihivi hapanana Hakimu je ?
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.