- Joined
- Jun 4, 2023
- Messages
- 1,219
- Solutions
- 1
- Reaction score
- 3,280
- Points
- 113
AhahahhahaIle ya home mzee sio kama mihogo ya @mshamba_mkuu unashushia na Oil ya Total maana haisikii maji
AhahahhahaIle ya home mzee sio kama mihogo ya @mshamba_mkuu unashushia na Oil ya Total maana haisikii maji
Asa si ulinielekeza jamaniHuu uzi sipiti tena, we siulisema huwezi kuupload
nilikuwa huko pia (DIT), madem wachache, hao wachache sura kama yangu
ndiyo chanzo cha kuwa nyetoni
Vema kama umejuaAsa si ulinielekeza jamani
Yeah,,nimejua saiviVema kama umejua
haha ndizi hizi mzuzu tangia lini zikawa kavuUnakulaje vyakula vikavu,,, ndomana unapata kitambi
Asa si unazikausha ndomana zinakua ngumuhaha ndizi hizi mzuzu tangia lini zikawa kavu
na mafuta ya kula? unajua kupika kweli?Asa si unazikausha ndomana zinakua ngumu
na mafuta ya kula? unajua kupika kweli?
Muonena mafuta ya kula? unajua kupika kweli?
Haya sasa tunataka kuona ugaliMihogo ni chakula cha starehe ule ukijisikia sio @mshamba_mkuu anashinda nacho kutwa nzimaView attachment 259
@Leejay njoo umgombeze
kwamba nakula vitu vikavu au@Leejay njoo umgombeze
ngoja aje uone shookwamba nakula vitu vikavu au
Haya bana wewe motoni utajumuika na wale kuku watenda dhambi mnatanuli moja
Muache tu na kitambi chake@Leejay njoo umgombeze
Kuku watenda dhambiHaya bana wewe motoni utajumuika na wale kuku watenda dhambi mnatanuli moja
huo ugali mkubwa sanaHivi nahitaji kununua pumba ili kuku wasife njaa huku tumboni majungu by @HakimView attachment 292
Unataka kumaanisha nini kwamba nina tumbo kubwahuo ugali mkubwa sana
unaona sasa, umesema mwenyewekwamba nina tumbo kubwa
Majungu hayajawahi shibisha mtuunaona sasa, umesema mwenyewe
Namimi nilitaka niseme hivyohuo ugali mkubwa sana
Majungu hayajawahi shibisha mtuNamimi nilitaka niseme hivyo
maisha ndo haya hayaNimepika mwenyewe hili biriani View attachment 298
Au basi
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.