Chit-Chat

Members engage in small talk, fun gossips and discussion on unimportant matters.
Habari zenu.. Nikiwa kama president wa kijiji forum napenda kutoa yangu ya moyoni,kweli members wote mchango wenu unaonekana kwa uongozi wa juu wanafurahi kwa mchango wenu juu ya kijiji forum. Jambo la msingi najua maisha yamekuwa magumu ila tujitahidi kuwa active humu kama mtapata mda angalau...
Replies
8
Views
436
Wakuu niaje? Leo nmezidishiwa chenchi na konda nimekuja kujua nlipofika nyumbani, imeniuma sana, sasa sijui hii hela ntaifanyia nini maana siwezi itumia kabsa.... uzi tayari
Replies
7
Views
365
Hamjambo? Mimi sijambo 😃. Wakuu nimekutana na mjadala asubuhi wakati naelekea katika shughuli za watu hizi... Mjadala ulikua mzito, ndio mara ya kwanza kukutana na mjadala kila mtu anauchangia kwenye gari.. yaani walikua wanaushambulia haswaa.. Mjadala ulianza baada ya daladala nliyokua...
Replies
12
Views
425
Niajee Wakuu kusema la ukweli nilikua natamani sana kula ajira.. Juzi kati hapa (wiki 2) niliitwa na jamaa nilishawai kumfanyia kazi ya kujenga banda la kuku (la chuma), huyu jamaa kipindi namjengea banda nlimueleza kua natafta kazi na nimesomea nini. Kweli yule jamaa amenitaftia mchongo ndio...
Replies
18
Views
535
Huyu guest kanifurahisha sana aisee
Replies
61
Views
2K
Moja kwa moja. Nimeona clip na utani unasambaa kwa walimu wa Mathe(hesabu) hapa bongo kauli inayotrend kuhusu wao ni "Mwalimu wa Mathe hapa ni wapi ? ". Kwa nini asiwe Mwalimu wa Kiswahili , geography ,physics ,civics , Chemistry nk. watu wawashambulie walimu wa Mathe pekee na kutoa taswira...
Replies
10
Views
482
Wanakijiji habari . Kuna matukio katika maisha yetu ya kila siku uwa yanachekesha hasa muda ukishapita uwa ukikaa mwenyewe unaishia kucheka kutokana na hali ya tukio lilivyo . Njoo tukumbushane hayo matukio . Binafsi nina matukio mengi ila ngoja nianze na haya yafuatayo . Mosi , Nikiwa bado...
Replies
53
Views
870
Habari ndugu zangu . Nikiwa hapo ulipokuwa baada ya mimi kuja kufanya umbea wangu nilikuonea huruma sana mzee mwenzangu . Mdomoni unaonekana mwamba ila sura na sauti vilinionesha kuwa unajuta ila hautaki kukubali . Siku kadhaa ulizokaa kaka yangu umetoka umekongoroka kama sio wewe . Aisee...
Replies
15
Views
455
Nigudi ee? Niko gudi piaa. Umeshawai kujiuliza familia ya baba mama na watoto inaweza kuishije ndani ya chumba kimoja? Baba na mama huwa wanafanyaje mambo ya faragha katika chumba kimoja na watoto hata kama wamelala? Hapo nimezungumza tu kuhusu family members bado vyombo, kitanda, makochi...
Replies
14
Views
413
Swali la kizushi kwa wataalam wa kiswahili Eti! Lugha sahihi ni ipi, 1. Popcorn/ bisi 2. Chapati 3. Chips Hivi vitu "vinachomwa" au "vinakaangwa" Mfano. Chapati inachomwa au inakaangwa?
Replies
8
Views
373
Wakuu kwemaa? Tatizo ni mwanamke kumzidi mume wake kipato au tatizo ni mwanamke kutaka kua mwanaume ndani ya nyumba?.. Nauliza hivo kwasababu wanawake wengi wenye cheo, pesa, umaarufu ndoa zao nyingi zinakuaga na chengachenga... Naomba wanawake muwe wakweli je mnapenda kuwazidi waume zenu kipato?
Replies
18
Views
384
Habari za mdaa huu sasa toka week 2 zilizopita nimekuwa na share link ya kijiji forum sehemu mbalimbali zilipo accounts zangu poa Id yangu. Ndo maana nimepigwa banned huko jamii . Unajua ili kijiji iwe imechangamka yatupasa sisi member wote tuitangaze kijiji forum kila kona. Kwa mfano kama...
Replies
14
Views
629
Afya ni afya wote tutakufa . Salama ndugu zangu , jana jioni sana nilikuwa natoka maeneo yangu ya kujidai , vijana wanasema wenyewe , ghafla bin vuu nakutana na mchungaji mmoja ambaye kwa muonekano ni kuwa hali ya maisha imempiga bado sadaka hazijaleta baraka . Salamu nyingi na kunikaribisha...
Replies
8
Views
309
Niaje wakuu, hivi wabongo wanawazaga nini? Unakuta mtu anawazazi kijijini wakati wazazi wako hai hawajengei nyumba na hela ipo.. Ila mzazi akifa tu ndio anaanza kujenga kwa fujo(wiki moja), hizi hela za kujenga nyumba haraka hvi zinakuwaga wapi sku zote?.. Unajiuliza inamaana marehemu hakustaili...
Replies
7
Views
126
Habari zenu?? Imeandikwa na the great manenge.. Inasemekana japani ndo nchi yenye watu wastaarabu duniani kote,watu wajapani wanapenda nchi yao,waaminifu linapokuja suala la nchi yao daima huweke taifa lao mbele ndo mambo mengine yanafuata. Ila kwa hapa tanzania ni tofauti...
Replies
2
Views
104
Le docteur sort dans la salle d'attente pour le patient suivant. Il est choqué de voir un homme assis là avec une grenouille qui lui pousse sur la tête. Le docteur crie " Oh mon Dieu ? comment est-ce arrivé ? La grenouille a répondu "Je ne sais pas, ça a commencé comme un bouton sur mes fesses"
Replies
7
Views
160
Kipindi niko Moshi Kilimamjaro nilishangaa sana kukuta madukani hawauzi mkate nusu, kwanza muuza duka alinishangaa naulizia mkate nusu ikabidi ni nunue mkate mzimaa😅. Leo nimepeleka zangu oda ya kuku, nikakutana na mtoto ametumwa sukari ya mia tatu, analia barabara nzima asaidiwe maana...
Replies
48
Views
742
Habari ndugu zangu Kuna haja ya kupima DNA watoto ulio walelea na kuishi nao kama watoto wako kweli? Kwa upande wangu naona sio sawa, kama umehisi mtoto sio wako unakausha tu, kuna watu wengi wameadopt watoto na wana amani telee.. Watu wanadai sababu inayofanya wa wafanye DNA test ni ili...
Replies
10
Views
196
Nawasalimu wakuu Swala la mahari limekua kipengele sana kwa vijana siku hizi wanalalamika kuwa kiasi ni kikubwa, wengine wanaona nikama imekua biashara yaani watoto wakike wamekua mtaji kwa wazazi wao... Ninacho taka kuuliza Ni sawa mwanaume kusaidiwa kutoa mahari na mpenzi wako wa kike? Je...
Replies
60
Views
542
wakuu nawasalimia tena👋 1 kwa 1 kwenye mada.... Je wanaume kuwasomesha au kuwafungulia biashara wapenzi wanao tarajia kuja kufunga nao ndoa kwa lengo la kuwaendekeza ni mbaya? Nimeuliza hivi maana jamaa yangu alimsomesha demu wake jamaa alikua nyuma level moja ya demu (chuo), na baadae kabla...
Replies
16
Views
187
Back
Top