Chit-Chat

Members engage in small talk, fun gossips and discussion on unimportant matters.
Kwema.... Hivi ulishawahi kwenda sehemu ambayo hujawahi kufika toka uzaliwe alafu ukajikuta mazingira unayajua vinzuri na hujawahi kufika??
Replies
8
Views
290
Katika ukuaji wa Anna,mama aliniambia niache kufukuzia mademu wanuka mkojo,ujio wa amapiano umefanya rasta wasikilize zaidi taarabu. Mtoto akilia mpe wembe ajikate kucha,na mtu asikuambie wewe ni mnzuri mpaka uende msikitini kumuona padre,wali wa maharage na bigiji unafaa kutengeneza kamba ya...
Replies
9
Views
121
Umeshawahi kukumbuka kitu, kwenda mahali, kuona kitu, kugusa kitu, kunusa kitu au hata kuambiwa kitu, halafu ukakumbuka kitu flani cha zamani kwenye maisha yako, ukapata hisia flani ambayo ni kama mchanganyiko wa furaha, huzuni na shauku?? Hii hisia inaitwa nostalgia Nostalgia ni hisia ya...
Replies
8
Views
180
Ninamzigo hapa dadeki napambana nao kwenye public transportation Vp yalishawahi kukuta karaha gani ulikutana nazo Sorry nipo kwenye duty mpaka kuandika shida
Replies
13
Views
142
Mambo vipi Hapa ni sehemu ya kuandika unatokea wapi au unaishi wapi. Binafsi kwa sasa niko naishi Kinondoni Manyanya. Ila natokea Kilimanjaro Mkuu Rombo😄 Angalizo: kama mtu akiandika anatokea mbinguni au motoni atakula makofi😬
Replies
67
Views
805
Nikibarua gani kwako kitakuwa kipengele kigumu kufanya Binafsi kuzibua chemba
Replies
25
Views
450
Wasalaam wana Kijiji Nikiwa form 3 kuna mwalimu wa Physics alikuwa anamtaka mwanafunzi mmoja hivi wa kike. Sasa yule msichana alikuwa mshikaji wangu tuna hang mda mwingi akajua kuwa namuibia kumbe sio. Mwalimu Ngawila akaanza majungu kila akiniona utamsikia "dogo wewe ni zero brain hutoboi...
Replies
74
Views
949
ase ujobless kitu kibaya sana unalala mpaka mgongo unauma ukiamka huoni cha kufanya unarudi kualala unachezea simu macho yanauma mishipa ya kichwa inapasuka ase hapana 🫡🫡
Replies
48
Views
572
Tuelezane ilikuwaje pale ulipoamua kutoka kwa wazazi na kujitegemea, nini kilikusukuma, magumu gani ulipitia? Binafsi bado nipo home bado najitafuta 😁
Replies
48
Views
469
Waraaap Right there where you are now what are you smelling? Unfortunately, I am smelling myself haven't showered since yesterday afternoon. 😬 It was so cold last night
Replies
27
Views
268
Wasalaam Jina Gily linamaana ya mtu mwema na ahadi . Pia nimelitumia kama ufupisho wa jina langu halisia. The essence of the given name Gily stands for ambition, independence, strength, reliability, determination and professionalism. Hapa ndani kila mtu ana jina lake, Je jina Lako ambalo...
Replies
33
Views
836
Niaje? Niende moja kwa moja kwenye swali, unajiona ina sifa za mnyama gani? Binafsi napenda sana kula nyama kama ningekuwa mnyama basi ningekuwa mnyama anayekula nyama kama Simba Pia mtag mshikaji wako umweleze unaona yeye anafanana na mnyama gan?
Replies
113
Views
1K
Hii ndio kaulimbiu yetu baada ya kuona mtihani unajua kipengele kimoja tena majibu unaungaunga ngeli ya senti kayumba na kisection chenyewe kinamask 0.5 Nasemaje nasemaje KIMEBUMA
Replies
51
Views
397
Waraap Wakati niko shule nilikuwa nachomekeq shati mbele tu🤣 Kipindi hicho ilikuwa swagger kinyama. Wenzangu na mimi ambao tushawahi vaa durak mpo humu😀 Hebu tueleze ulikuwa na swagger zip kipindi uko shule ?
Replies
48
Views
452
Let's discuss, hivi ni mnyama gani unamwogopa sana Binafsi ni Ng'ombe huyu bwana bora nikutane na simba nijue moja, anaefuatia ni Mbwa Nje ya hapo napeta nao kikubwa Tuambie wewe je?
Replies
47
Views
439
Back
Top