Chit-Chat

Members engage in small talk, fun gossips and discussion on unimportant matters.
Afya ni afya hakika wote tutakufa . Habari wanakijii , leo naongea na nyie born town aisee ukweli maisha ya kijijni yanataka sana moyo maana wambeya ni wengi kuliko wema . Naishi kijijini huku nimejenga , nina mambo yangu ya kizee kizee na ya kimaisha nayaendeleza , siwazi kuhama kijiji na wala...
Replies
18
Views
216
Vp kwa mlio makazini mishahara yenu inatosha? maana naona kila siku gharama zinaongezeka... Tupe mbinu unayo tumia kubalansi mshahara uleule zidi ya ongezeko la gharama za maisha...
Replies
32
Views
640
Morning. Katika maisha ya binadamu kuna mambo mengi binadamu anapitia kuelekea kifo chake,mambo mengine ya kuchekesha na yakuhuzunisha,nimeleta huu uzi ili tutoe yetu ya moyoni. Mimi Mr president jambo ambalo sitakaa nisahau katika maisha yangu ni kumlazimisha demu wangu ulokole kufanya...
Replies
13
Views
161
Habari zenu.. The great manenge KF President. Basi nikiwa kama Raisi wa heshima kabisa. Nitafanya haya.: Nitahakikisha kila forum nimeandika uzi mmoja koki/jiwe. Nitajitahidi ndani ya huo mwenzi mmoja niliyopewa members wasiwe chini 100 tena active. Last one kipo moyoni mwangu..
Replies
58
Views
787
Wakuu niaje? Je watu wanao kaa mji wa nyumbani(watu wasio enda mbali na nyumbani) wengi wao wanakua na maisha yale yale na mara nyingi hawawezi kusonga mbele sana?...
Replies
3
Views
124
Habari.. Kipindi cha utoto tumepitia mambo mengi tena yalioshangaza sana,tulitishwa na waliotuzidi umri pia tulitishwa na wazazi mpaka na walimu. Jambo la kawaida kipindi kile cha utoto kwetu lilionekana la kutisha sana. Hapa nimeweka mambo yote waliokuwa wanatutisha nayo kama kuna...
Replies
13
Views
215
Kwema.. Jumapili imetulia vyema,no kweree. Je baada ya miaka 10 mbele unaonaje maisha yako?? Hili swali nilakufikirisha maana hakuna anayejua future,ila unachokiwaza au kukipanga ndicho kinatokea ukiwa serious nacho. Nimeona nianzishe huu uzi hapa nitakuwa naweka story za maisha ya watu...
Replies
6
Views
164
Je, unadhani ni umri gani unaohesabika kama huyu mtu ni mzee? Ni miaka 40 hadi 60?, 50 hadi 70? ama ni umri zaidi ya huo? Kuna msemo unasema "mzee mwisho chalinze" maana yake mjini hakuna wazee wote ni vijana. Uzee sio mwisho wa maisha na wazee pia wanastahili kusherekea maisha. Hivyo hata hapo...
Replies
42
Views
398
Iko hivii.. Zuia ulimi wako usinene mabaya Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye penda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10). Ikiwa unataka kuwa na maisha yenye furaha na amani basi chunga sana unayoyasema...
Replies
2
Views
139
Oya weee leo tumention misemo iliyowahi kutamba sana mitaani Kula chuma hicho Apeche alolo Shega
Replies
48
Views
1K
Ni huku kwetu tu, au hadi huko kwenu wadau? Umeme kwanzia jana hauko, nlikua na mayai kwenye inkubeta sizani kama yako salama!
Replies
10
Views
208
Je wajua? Harufu unayo isikia katika geto lako au chumba chako pale unapokua ujaingia mda mrefu(ulisafiri kwa muda ) hiyo harufu unayo isikia siku hiyo uliyorudi ndio harufu wanayo kutanaga nayo wageni zako wanapo ingia chumbani kwako mara ya kwanza.. Kama nguo yako imevujia wino(wa kalamu)...
Replies
4
Views
86
kitu gani umekaa nacho mda mrefu kuliko kawaida, kiatu, nguo, simu, saa, notebook, mkanda, meza, shuka, mto, cheni, miwani, radio, kata kucha,... mimi kuna mkanda nmeuvaa kwanzia form one mpaka leo upo nimeuona leo nmeusikitikia sana...
Replies
23
Views
514
Afya n afya ila wote tutakufa . Hii ni salamu yangu kwenu , mnielewe tafadhali aisee najua kwenye pitapita zako huko mtaani unatamani sana askari ,mara wanajeshi , daktari au hata banker wawe rafiki zako ? Ni kweli nchi yetu ni nchi ya ulimwengu wa tatu hivyo sikatai umasikini ni mkubwa sana...
Replies
12
Views
187
WhatsUp! What Celebrity do people think you look like? Nishaambiwa nafanana na Amitabh Bachchan, Jay Sean na Chris Brown. Amitabh Bachchan Jay Sean Chris Brown Je unahisi au ushaambiwa unafanana na mtu gani maarufu?
Replies
115
Views
909
Jamani kwema. Mbona humu kimya sana
Replies
11
Views
166
Habari wanakijiji . Ukweli usiopingika kwangu ni kuwa mwanaume rijali kukosa mchepuko inawezekana ila inahitaji nguvu kubwa ya Mungu mwenyewe . Hapo zamani nikiwa mlevi sana nilipenda sana vidada vidogo vidogo ili niyasukume maisha yangu katika raha na mustarehe ukizingatia mke wangu ni mtu...
Replies
36
Views
548
Uzee ni uhalisia na hauepukiki , huwa hatma ya kila mtu. Hali hii huwa inakaribia hatua ya mwisho ya maisha ya binadamu, lakini mwanasayansi wa maumbile David Sinclair anakanusha mtazamo huo. Kwa mujibu wa utafiti ambao umefanywa zaidi ya miongo miwili, anasema kuwa kuna uwezekano wa kuzuia mtu...
Replies
18
Views
191
Hello.. Jamani nauliza tu.. Mpaka kuwa raisi wa kijiji forum unapitia level ngapi?? Maana sasa hivi nipo platinum ina maana kwamba napanda juu na kampuni ikiwa na raisi ina maana mwenye hisa nyingi ndo anamiliki kijiji forum,mimi hisa zangu zishafikia platinum au sio moderator?? Level...
Replies
61
Views
457
Kuzaliwa arusha kumenifanya kuwa tofauti kabisa na watu wanaotoka mikoa mingine,kumenifanya niwe tofauti ki **kimavazi **kifikira **kujituma Sisi vijana wa arusha ni tofauti sana na wa mikoa mingine,kijana akishamaliza darasa la 7 au form 4 anatamani kuanza kujitegemea hata kama bado...
Replies
17
Views
123
Back
Top