- Joined
- Jun 3, 2023
- Messages
- 2,714
- Reaction score
- 6,236
- Points
- 113
Huyo kuku anangozi kama yako
Huyo kuku anangozi kama yako
haha tumbo langu halijui hili. .Huyo kuku anangozi kama yako
Afya kabisa hii.@Leejay hapa vipi. Lunch ilienda hiviView attachment 689
haha umeacha kula vitunguu swaumu na chai?
Hapo sawa,,, ndizi malage@Leejay hapa vipi. Lunch ilienda hiviView attachment 689
Vitunguuu saumu ni vya usiku mkuu.haha umeacha kula vitunguu swaumu na chai?
uache kuku ule mihogo??Nimemeza mate
ngoja nikanunue mihogo
Sasa nakula kuku na mihogo acha ushambauache kuku ule mihogo??
maajabu....
Hawa kuku unawala kila siku unawatoa wapi
Gily mbadilishie mlo huyu mtu leo
mshamba_mkuu Hakimu hawa jamaa wanakula mihogo sijawahi ona.Gily mbadilishie mlo huyu mtu leo
Ndo maana naomba mbadilishie chakula jamanmshamba_mkuu Hakimu hawa jamaa wanakula mihogo sijawahi ona.
Juzi Hakimu nimemuona anakula mihogo Sinia. I have never seen mihogo sinia before
Nataka niache kula kuku au nyama for a year. Nina uraibu wa kula nyama sana which is not so goodHawa kuku unawala kila siku unawatoa wapi
mshamba_mkuu Hakimu hawa jamaa wanakula mihogo sijawahi ona.
Juzi Hakimu nimemuona anakula mihogo Sinia. I have never seen mihogo sinia before
Mama yake anampa pocket money ya kutosha sema shida hawa vijana wananunua escorts mitandaoniNdo maana naomba mbadilishie chakula jaman
mshamba_mkuu yuko mbeya huko vijijini. Huyu nae yuko busy na mitihaniWaite hata home dada awapikie wabadili tu
Mama yake anampa pocket money ya kutosha sema shida hawa vijana wananunua escorts mitandaoni
mshamba_mkuu njoo ujieleze
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.