mshamba_mkuu
New member
- Joined
- Jun 4, 2023
- Messages
- 1,563
- Reaction score
- 4,525
- Points
- 0
maharage mazuri. Na bado nimekonda tu
View attachment 561
maharage mazuri. Na bado nimekonda tu
View attachment 561
Sijaamua kuvila saivi ntavishtua jioni aseevitunguu vinapungua kila siku
Oya mshaanza. KausheniYa Kawaida mbona.
Mabaya yapoje
yana mchuzi mwingi, sio mazitoYa Kawaida mbona.
Mabaya yapoje
haha uzi bado unaishi ila sasa ni mwendo wa vitunguu swaumuYANI NIMEKULA CHIPS ZIMEISHA NDIO NAKUMBUKA HUU UZI
kesho ntatupa vitu huku na mavitunguu saumu yakutosha maana kuna shereje hapa jiranihaha uzi bado unaishi ila sasa ni mwendo wa vitunguu swaumu
usisahau kununua ndizi mbuvu na pilipilikesho ntatupa vitu huku na mavitunguu saumu yakutosha maana kuna shereje hapa jirani
View attachment 20230708_193256.mp4Ngoja nikale uzi unatia njaa kishenzi
sipatii picha ndio ungekuwa mzee yusuph wa leo
Majungu hayashibishi mzeesipatii picha ndio ungekuwa mzee yusuph wa leo
aisee sipendi uji hatarihaha matunda nakula everyday huwa nasahau kupost. Asubuhi nashuka na kikombe cha uji Kila sikuView attachment 651
unapitwa na vingi sanaaisee sipendi uji hatari
Jamani jamani jamani ,, dose yangu hiyo every morning...napenda uji jamanihaha matunda nakula everyday huwa nasahau kupost. Asubuhi nashuka na kikombe cha uji Kila sikuView attachment 651
Hupendi uji seriouslyaisee sipendi uji hatari
Huyu jamaa anapenda sana vyakula vikavu
Naona kama chakula cha mtotoHupendi uji seriously
@Gily nilikuambia mzeeHuyu jamaa anapenda sana vyakula vikavu
Yeah,,kula vyakula vilainilaini...hivi hupatagi constipation kwelihaha @Leejay anataka nile urojo
hamna sio kwajili ya watoto..ni kwajili yetu woteNaona kama chakula cha mtoto
haha constipation kuku kakaangwa owenye mafuta mengiYeah,,kula vyakula vilainilaini...hivi hupatagi constipation kweli
Sawa umeshindahaha constipation kuku kakaangwa owenye mafuta mengi
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.