- Joined
- Jun 4, 2023
- Messages
- 7,632
- Reaction score
- 26,451
- Points
- 113
huyu jamaa sijui ana nini aisee
Unafaidi tui mkuu mambo.matamu hayo
qisee analalamika hanenepihuyu jamaa sijui ana nini aisee
kuna miili ambayo hainenepi kirahisi ila wachaga aisee tunanenepa haraka tunakua shapelessqisee analalamika hanenepi
@D'UsséV$OP Cognac unamuona anavyotusaliti wachaga wenzakekuna miili ambayo hainenepi kirahisi ila wachaga aisee tunanenepa haraka tunakua shapeless
Lipo jambo
ukweli unaniuma hata mimi@D'UsséV$OP Cognac unamuona anavyotusaliti wachaga wenzake
Oya na mimi leo napost mihogo nimeimiss kimyamaField ntakufa aseee View attachment 464
Leo nimepiga ya kuchemshaField ntakufa aseee View attachment 464
Kuna madaktari wengi fix sana...Unaambiwa baada ya kupata matibabu ya vidonda vya tumbo..Dr akaniandikia vyakula nisivyotakiwa kula hadi mihogo ameiweka kwenye orodha sitakiwi kula dah! Basi nikiona mtu anakula roho inaniuma kweli yani....Oya na mimi leo napost mihogo nimeimiss kimyama
Ulikatazwa usile mihogo kweli kazi kuna vitu vingine vinajaza mate mdomoni just talking about them.Kuna madaktari wengi fix sana...Unaambiwa baada ya kupata matibabu ya vidonda vya tumbo..Dr akaniandikia vyakula nisivyotakiwa kula hadi mihogo ameiweka kwenye orodha sitakiwi kula dah! Basi nikiona mtu anakula roho inaniuma kweli yani....
nimepiga hii asubuhi safi kabisaField ntakufa aseee View attachment 464
Nimebaki na wivu tu pale nikiiona inakaangwa dah!Ulikatazwa usile mihogo kweli kazi kuna vitu vingine vinajaza mate mdomoni just talking about them.
Kwani sijakupa dawa bado naona kama unapenda kuumwa vileNimebaki na wivu tu pale nikiiona inakaangwa dah!
Nimebaki na wivu tu pale nikiiona inakaangwa dah!
Nilifuata ushauri wako mkuu...Ila shida ni vyakula bado nina wasiwasi...Naogopa kufaKwani sijakupa dawa bado naona kama unapenda kuumwa vile
Kama unapesa jaribu tiba mbadala unaweza pona kabisa, kuna rafiki yangu anaweza kukusaidiaNimebaki na wivu tu pale nikiiona inakaangwa dah!
Sasa hivi havinisumbui sana...Natumia asali na bamia vikianza kunisumbuaKama unapesa jaribu tiba mbadala unaweza pona kabisa, kuna rafiki yangu anaweza kukusaidia
Pia tonge moja maji, tonge maji tonge maji mbona inatuliaSasa hivi havinisumbui sana...Natumia asali na bamia vikianza kunisumbua
Unamaanisha tonge la ugali nashushia na maji au...Pia tonge moja maji, tonge maji tonge maji mbona inatulia
Chakula chochote ili kiwe kilainiUnamaanisha tonge la ugali nashushia na maji au...
Yap nimeanza leo rasmi. Tunafungua tarehe..... /.... /2023uko field tayari??
nyie ndo mnawahi kufungua
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.