- Joined
- Jun 4, 2023
- Messages
- 7,628
- Reaction score
- 26,449
- Points
- 113
unatakiwa ule nyama choma na bia utanenepaKwa urefu huu, hiyo haiwezekani mkuu, mi hata nileje siwezi nenepa mkuu,
A level nilikuwa nafukia sahani 3 ila nilikuwa nimekondeana balaa si mchezo. Ni mbavu tu,
Yaani wengine tumejikubali na miili yetu tu View attachment 369