Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

Kimeisha mkuu,ila ilikua aibu,nilipita magendo nikakuta eti nimeandaliwa msosi na lishangaz,sema ikabidi nile ivyo ivyo maana ndo nalivizia nipite chap,ningekataa ningezingua,ila lishangazi halijui mapishi kabisa aisee
Nyie ndio mnatuaribia watoto kina @mshamba_mkuu wanaanza kuwaza matipa wakati hata vits hawana
 
Nyie ndio mnatuaribia watoto kina @mshamba_mkuu wanaanza kuwaza matipa wakati hata vits hawana
Tipa lina raha yake mkuu,barabaran unatanua tu😂,kama kina vikorongo korongo we unapita tu mdogo mdogo,ila ukiotea vits kali napo kipengele kuruka😂,ukute lina kiyoyozi na mziki limefungwa busta hakyanani huchomoki hapo
 
Oya @mmash nenda kwa makini humu ndani anayependa mashangazi ni @Analyse usije mwibia mashangazi akaanzisha fujo😀
 
haha ndio yule jamaa ni mwenyekiti wa chama hicho
Katibu naomba kuanzia Leo uwe wewe mangi,mm ntakuwa mjumbe tu wa chama cha wapenda mishangazi (CcWM)😂,napenda wajumbe wa baraza la uwakilishi Tuwe 10,wengine watakuwa wanachama tu,,..
@Analyse -M/kiti
@Gily -katibu
mweka hazina tunaweza kumweka hata @Urban Edmund ,kijana akiwa mtunza hazina wetu atakua na nafasi ya kupata mshangaz mmoja wa pwani akamwagwe ubongo huko😂
Mjumbe wa kwanza ntakua mm,wengine tutajazia kwa uzoefu wa @Analyse na ww mangi prezidaa @Gily
 
hah mashangazi mimi siwawezi ila ukatibu atachukua @D'UsséV$OP Cognac maana anapenda mashangazi kweli kweli.
@Urban Edmund hana baya huyu hawezi kula hela zetu🤣
 
unapenda sana wali utakuwa kibonge😃
🤣🤣🤣🤣 Kwa urefu huu, hiyo haiwezekani mkuu, mi hata nileje siwezi nenepa mkuu, 😁😁

A level nilikuwa nafukia sahani 3 ila nilikuwa nimekondeana balaa si mchezo. Ni mbavu tu,

Yaani wengine tumejikubali na miili yetu tu 😁😁
 
Last edited:

Similar threads

Bwana Yesu Asifiwe? Tumsifu Yesu Kristo? Mwana kondoo ameshinda! Shalom shalom! Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Replies
21
Views
727
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya kuwatoa udenda au kuwatamanisha wana kijiji. Embe na Kichumvi kwa mbali😋😋
Replies
17
Views
717
Wanaume !! Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi? Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia? Mwanaume hatakiwi kula chips mayai? Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze? Wanaume ni...
Replies
44
Views
911
Oya weee leo tumention misemo iliyowahi kutamba sana mitaani Kula chuma hicho Apeche alolo Shega
Replies
48
Views
1K
Wasalaam Binafsi mimi sipo kwenye kundi lolote bado. Ila ningependa kuwa kwenye kundi la vegetarians hapo baadae. Hapa tunatupia recipes za vegans au vegetarians ili tuwe na range kubwa ya vyakula. Vegetarians- Hawa hawatumii nyama wala samaki kwenye milo yao au bidhaa au vyakula vilivyopikwa...
Replies
45
Views
942

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top