Uzi wa picha ya chakula unachokula - Take a photo of food you are eating

mchaga ila sijawahi kukuona ukila machalari, kiburu, kitawa😂
hivyo nakula sana sana sana almost every week nakula kiburu. Nikipost watu hawachelew kuponda

Machalari nimekula sana mpaka nimechoka. Sema napenda sana ndizi za maharage.

Kitawa mke wangu kala four times a week for the last three months hapa yuko uzazi. Nilionja once nikaacha maziwa hayakuwa makali napenda kikiwa na maziwa makali sana.

week nzima nakunywa mbege leo naumwa nimemeza dawa ngoja kesho nipige mbege uone 😃 huwezi amini mbege inapikwa hapa kwangu
 
Oya funguka ni namna gazi unazuia kukimbiwa na wanawake kwa kunuka vitunguu swaumu😬

nikisalimia watu nabana najifanya naangalia mazingira
We jamaa vitunguu saumu ni vyakula usiku wakati unaenda kulala mkuu. Haaa kumbe we unakula asubuhi unakichaa sio 🤣🤣🤣🤣.

Acha ushamba mkuu mi ukiniona nakula mchana najua kuwa siwezi toka.

Ila kioindi hichi cha field nazitumia usiku tu. Asubuhi napiga mswaki harufu yote haimo 😑😑
 
We jamaa vitunguu saumu ni vyakula usiku wakati unaenda kulala mkuu. Haaa kumbe we unakula asubuhi unakichaa sio 🤣🤣🤣🤣.

Acha ushamba mkuu mi ukiniona nakula mchana najua kuwa siwezi toka.

Ila kioindi hichi cha field nazitumia usiku tu. Asubuhi napiga mswaki harufu yote haimo 😑😑
Sasa kama hutoi maelekezo ya ziada unazingua sana we teacher mnoko
 
hah mashangazi mimi siwawezi ila ukatibu atachukua @D'UsséV$OP Cognac maana anapenda mashangazi kweli kweli.
@Urban Edmund hana baya huyu hawezi kula hela zetu🤣
Unaogopa yataivunja😅,hayo yakikaa juu na ukute liko na uzito wa maana,akikosea tu kidogo akaikalia ikiwa iko wima anaeza ivunja kwa ule uzito,kanuni ya kwanza kwa mshangaz ni usimruhusu aje juu😅
 
Unaogopa yataivunja😅,hayo yakikaa juu na ukute liko na uzito wa maana,akikosea tu kidogo akaikalia ikiwa iko wima anaeza ivunja kwa ule uzito,kanuni ya kwanza kwa mshangaz ni usimruhusu aje juu😅
Kuna uzi humu jamaa kakaliwa sasa yuko ICU. Nitakutag😀
 

Similar threads

Bwana Yesu Asifiwe? Tumsifu Yesu Kristo? Mwana kondoo ameshinda! Shalom shalom! Najua mko poa kabsaa, lengo la uzi huu ni kucomment somo ulilojifunza siku ya juma pili, kama hunapata shida kuandika unapost tu neno pekeake bila maelezo, hivyo yani kwanzia kesho natarajia mtatuma ili tujifunze...
Replies
21
Views
727
Huu ni uzi maalumu kwa ajili ya kuwatoa udenda au kuwatamanisha wana kijiji. Embe na Kichumvi kwa mbali😋😋
Replies
17
Views
717
Wanaume !! Kila mwenye jinsia ya kiume anaweza kuwa mwanaume, lakini sio wote wenye uwezo wa kuwa wanaume wanaostahili kuitwa wanaume. Je sifa za mwanaume ni hizi? Wanaume halisi ni sugu; hawapaswi kulia? Mwanaume hatakiwi kula chips mayai? Wanaume halisi hawakubali yeyote awaongoze? Wanaume ni...
Replies
44
Views
911
Oya weee leo tumention misemo iliyowahi kutamba sana mitaani Kula chuma hicho Apeche alolo Shega
Replies
48
Views
1K
Wasalaam Binafsi mimi sipo kwenye kundi lolote bado. Ila ningependa kuwa kwenye kundi la vegetarians hapo baadae. Hapa tunatupia recipes za vegans au vegetarians ili tuwe na range kubwa ya vyakula. Vegetarians- Hawa hawatumii nyama wala samaki kwenye milo yao au bidhaa au vyakula vilivyopikwa...
Replies
45
Views
942

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top