Literature & Writers' Corner

Theatre collective that champions writers, giving them space to share their stories as well as discuss novels, plays, books, stories, and poetry.
Flash Marriage He Made My Jaw Drop by Roana Cyrus Introduction Vivienne and Damien walked out of City Hall, looking down at the marriage certificate in their hands. Vivienne suddenly realized how crazy she was to have done this. She’d just married a man an hour after meeting him for the first...
Replies
62
Views
1K
About the Novel Title: Unrivaled Warrior by Ashley Grey Author: -Ashley Grey Genre: Advventure Language: English From a destitute outcast to a man in love, he crossed paths with a woman of power - the group's president. For love's sake, she selflessly forsook everything, fleeing with him...
Replies
19
Views
1K
1045 - 1050 chapter 1045 A red carpet stretched for hundreds of meters, extending from the entrance of the mansion to the reception hall. Today, Trent Harmon officially assumed the position of the Harmon family's patriarch, a position that had previously been acknowledged internally but was...
Replies
91
Views
18K
Chapter 1064 ”Boom!” Cao Yiming’s head suddenly fell, like a ball, and rolled twice on the ground. His eyes were as wide as bells, and his face was full of disbelief. Even to the point of death, he didn’t expect that Zhao Hongying would suddenly kill him. The original savior has now become...
Replies
45
Views
12K
What are your thoughts on this book? In Africa children are lied about how they're born until they reach puberty stage and taught in school. What are your thoughts about having this knowledge to small children?
Replies
7
Views
420
SEHEMU YA KWANZA. Nikiwa nimerudi kutoka shuleni nilikutana na mama nje ambaye alinambia tumepata mgeni ambaye atakua akitusaidia kazi za ndani yaani dada wa kazi, kutokana na uchovu na fimbo za siku hio hata sikua na hamu ya kutaka kujua zaidi kuhusu jambo hilo nilimjibu mama kwa kifupi...
Replies
63
Views
1K
SEHEMU YA KWANZA Aaaaaahhhh, oooooooooossssssshhh, ussssssssssssssssssssh,oooooooooooooooppppppppssssssssss Tamu…..kenny aaaaaaah siku,,,,,,,,,achiii Kenny naku….pendaaaaa sana beibiiiiiiii tamuuuuuu Iikua ni miguno ya kimahaba ya binti asuisa shayo. Binti aliyeamua kuishi maisha yake...
Replies
98
Views
2K
Jumatatu naamkia makao makuu ya nchi , katika wiki kadhaa nyuma . Huko nafanya kilicho nipeleka , najipanga kurudi ila nasema wacha nimpigie rafiki yangu mmoja kutoka huko kwa washua ( Wahaya) Bila ajizi anapokea simu , makutano yanapangwa tunakuwa na muda mzuri sana kwenye kumbi za starehe...
Replies
23
Views
502
The great manenge SEHEMU YA KWANZA. Alifahamika kwa jina la baba Toby,muhitimu wa chuo cha mlimani miaka ya 1980 watoto wake walikuwa Toby,Jane na mage ambaye alikuwa ndo wa mwisho. Alikuwa maarafu kwa tabia zake za ulevi na uvivu uliokithiri ambao ulisababisha watoto wake kuwa omba omba kwa...
Replies
13
Views
523
Single, Married, Seperated & Life After Divorce. Rediscovering the Kingdom. Kingdom Principles. Applying the Kingdom. Rediscovering the Kingdom Worship. Reclaiming God's Original Purpose for your Life. Glory of Living. Understanding Your Potentials. Releasing Your Potentials. Maximizing Your...
Replies
9
Views
444
Sehemu ya 1 Mapambano ya naanza ni siku nyingine Naitwa Thaibu kijana mchapa kazi, nilizaliwa mnamo tarehe 08/06/2004 nilimaliza elimu yangu ya msingi 2016 na siku bahatika kuendelea na shule hivyo nilitumia mwaka mzima nyumbani mpaka pale nilipoona kuwa sasa inabidi niyajenge maisha yangu...
Replies
13
Views
437
WAHUSIKA Gerbet == @Gily Mkuu wa kituo == @mshamba_mkuu Muuza mahindi == @Analyse Wahusika wengine watakuja mbeleni KIJIJI CHA WAKAMOTO: Kijana msomi Gerbet anamaliza masomo yake ya udakatari na kupangiwa katika kijiji kiitwacho WakaMoto kwa ajili ya kupata kazi hapo, safari inaanza...
Replies
7
Views
346
Habari wanakijiji... Salam kwenu na natumai nyote ni buheri wa afya, Naona nielekee kwenye hoja husika.. Ilikua ni siku ya mapumziko(weekend) siku ya jumapili tarehe 22 ya mwezi wa 9 mwaka 2007 maeneo ya mbezi beach eneo linafahamika sana kwa jina alimaarufu (Africana) njia ya kuelekea...
Replies
47
Views
722
Back
Top