Tamaa mbaya STORY YA KWELI

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Wakuu kwema!
Nimewamiss, sasa leo nimekuja na hii story ya jamaangu mmoja yeye ni fundi tv.

Huyu mwamba ni mtu safi ila tamaa ndio imemzidi, alikua anafanyakazi na mwenzake ofisi moja ila baadae wakashindwana kwahiyo kila mtu ikabidi awe na ofisi yake.. Yeye alipata bahati ya kukaa kwenye ofisi ya mwanzo iliyo zoeleka na watu.

Yule jamaa yake anaitwa Devi yeye akapata chumba kwa nyuma ya huyu mwamba yani hakuna umbali..

Sasa kwakua wateja baadhi walikua wamemzoea Devi wakawa wanakuja kumuulizia, jamaa akawa anawaambia hayupogo kabisa, na mara nyingine akajidai yeye ndiye Davi kwahyo akawa anapata riziki kupitia jina la Devi.

Sasa siku moja walikuja wateja na gari walikua watatu, wakaja ofisini kwa mkuu wakaulizia kwa Devi ni wapi? Jamaa akajibu hapa ndio kwa Devi, akaulizwa swali lingine Devi yuko wapi? Akasema mimi ndio Devi!

Kumbe Devi alifanya msala akakimbia wale ni polisi wanamtafuta... Jamaa wakajitambukisha wao ni polisi na wakamuweka mkuu chini ya ulinzi na akapelekwa moja kwa moja kituo cha polisi..
Alipofika kule kituoni ndio ikabidi awaeleze vizuri kuwa yeye sio Devi ila alijifanya ni yeye ili kama niwateja wampe kazi..

Sitori itaendelea😉

Ndugu zangu nazani mmepata cha kujifunza hapa, tujiamini sisi kama sisi sio lazima kuiba uhusika wa mtu, tujenge brandi(majina) zetu wenyewe ili tuje kufaidika nazo, hako ni chako, ridhiki ya mtu usiilalie mlango wazi...

Ukingangania vitu vizuri vya mtu kwa nguvu sio poa maana hata vitu vyake vibaya vinaweza kukungangania na wewe...

Ridhiki anaetoa ni Mungu, mbarikiwe sana
 
Hhahahaha ila imekaa kama kamba
 
Hii imekaa kama Chai kabisa. Ila ujumbe wake mzito, ni kama.chai ya maziwa

Mr president unatudanganya mchana kweupe
 
Similar threads

Wakuu wazima? Mmeshiba? Mimi niko gudii, Je? Kuna mahali ilifika ukaona bora ufanye ubaya tu, maana hata ukifanya mema milioni malipoyake ni mabaya tuu, umesha fanya mema kwa ndugu au rafiki wao wakakulipa ubaya? Usichoke kutenda mema ndugu mema yana faida, dunia inaitaji uwo wema wako mchache...
Replies
3
Views
294
wakuu nawasalimia tena👋 1 kwa 1 kwenye mada.... Je wanaume kuwasomesha au kuwafungulia biashara wapenzi wanao tarajia kuja kufunga nao ndoa kwa lengo la kuwaendekeza ni mbaya? Nimeuliza hivi maana jamaa yangu alimsomesha demu wake jamaa alikua nyuma level moja ya demu (chuo), na baadae kabla...
Replies
16
Views
188
Nishawahi sikia kisa kinschohusishwa na uchawi Kuna masela wawili walienda kwa mganga ili wapate utajiri Mganga akawapa dawa akawaambia wakaoge usiku makaburini na wakitoka mlangoni kwa mganga hawatakiwi kugeuka nyuma Basi unaambiwa safari yao iliandamwa na misukosuko yakutisha, mara wasikie...
Replies
4
Views
532
  • Sticky
  • Article Article
In the Daley household, young Rachel's life was akin to a continuous uphill battle. Her mother was relentless in her relentless teasing and torment, and her sister seemed intent on acquiring everything Rachel held dear, including her boyfriend. Yet, the most pressing challenge was the mounting...
Replies
509
Views
15K
  • Sticky
  • Article Article
Charlie Wade is a househusband son-in-law whom everyone looks down upon. However, unknown to them, his true identity is that of the young master from a top-tier family. Those who once belittled him will eventually kneel before him, trembling with fear and calling him "Master!" ... The MC is...
Replies
2K
Views
122K

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top